Building a reading culture in Africa!
Thank you for shopping with us. Your purchase, whether of local or international books, goes directly towards supporting African Christian authorship and helps us build readership and authorship in Africa!
Agano La Mwenge: Mkumbano Uliosahaulika Katika Historia Ya Kutoka na Safari ya Jangwani (Book 2)
KSh1,490
Agano la Mwenge, ambalo Mungu alifanya na Abrahamu ndilo muhimu zaidi kati ya maagano yote katika Bibilia. Mbona? Ndilo lina maelezo mengi zaidi na mukhtasari ulio rahisi kuelewa wa utawala wa Mungu katika historia ya ukombozi wa watu wake wataua na nchi takatifu. Katika kitabu hiki, Askofu Abrahamu Park anahuisha Agano la Mwenge, na anasaidia kuona dhahiri na kufa- hamu miaka 692 ya kazi ya Mungu ya ukombozi katika wakati wa Abrahamu, kutoka kuu, safari ya jangwani, na kutwaa kwa kivita kwa Kanaani.
Stock Available
What's Inside?

Reviews
There are no reviews yet.