Mara nyingi vizazi hufasiriwa kama dhana isiyovutia, au mbaya zaidi, inayochosha. Hata hivyo, kitabu kipya cha Dkt Abraham Park, Vizazi katika Kitabu Cha Mwanzo: Utawala wa Mungu katika Historia ya Ukombozi kinaonyesha umuhimu mkubwa na hata furaha ya kusoma kwa kina kuhusu vizazi katika Biblia. Msingi dhabiti ni muhimu kwa muundo wowote ule. Hivyo basi ni kweli kwamba Kitabu cha Mwanzo ni msingi imara wa imani yetu ya kibiblia. Kitabu cha Mwanzo si msingi tu wa kuielewa mianzo yetu, bali pia ni msingi wa kujielewa sisi na vilevile kuuelewa uhusiano wetu na Mungu, na watu wengine. Ni dhahiri kuwa hatuwezi kuupuza umuhimu wa Kitabu cha Mwanzo kama kielelezo cha msingi cha kutafakari kwa Wakristo wote. Dkt Abraham Park anastahili kupongezwa kwa mchango wake wa maana na thamani katika kuelewa kwetu kuhusu msingi wa kitabu hiki.
Sale!
Vizazi Katika Kitabu Cha Mwanzo – Utawala Wa Mungu Katika Historia Ya Ukombozi (Book 1)
Original price was: KSh1,490.KSh890Current price is: KSh890.
“Kumbuka siku za kale, Tafakari miaka ya vizazi vingi; Mwulize baba yako, naye atakuonyesha, Wazee wako, nao watakuambia.” Kumbukumbu la Torati 32:7
Stock Available
Reviews
There are no reviews yet.