Description
Agano la Mwenge, ambalo Mungu alifanya na Abrahamu ndilo muhimu zaidi kati ya maagano yote katika Bibilia. Mbona? Ndilo lina maelezo mengi zaidi na mukhtasari ulio rahisi kuelewa wa utawala wa Mungu katika historia ya ukombozi wa watu wake wataua na nchi takatifu. Katika kitabu hiki, Askofu Abrahamu Park anahuisha Agano la Mwenge, na anasaidia kuona dhahiri na kufa- hamu miaka 692 ya kazi ya Mungu ya ukombozi katika wakati wa Abrahamu, kutoka kuu, safari ya jangwani, na kutwaa kwa kivita kwa Kanaani.
Reviews
There are no reviews yet.