Building a reading culture in Africa!

Thank you for shopping with us. Your purchase, whether of local or international books, goes directly towards supporting African Christian authorship and helps us build readership and authorship in Africa!

Vizazi Katika Kitabu Cha Mwanzo – Utawala Wa Mungu Katika Historia Ya Ukombozi (Book 1)

KSh1,490

Kumbuka siku za kale, Tafakari miaka ya vizazi vingi; Mwulize baba yako, naye atakuonyesha, Wazee wako, nao watakuambia.”  Kumbukumbu la Torati 32:7

Stock Available

Description

Mara nyingi vizazi hufasiriwa kama dhana isiyovutia, au mbaya zaidi, inayochosha. Hata hivyo, kitabu kipya cha Dkt Abraham Park, Vizazi katika Kitabu Cha Mwanzo: Utawala wa Mungu katika Historia ya Ukombozi kinaonyesha umuhimu mkubwa na hata furaha ya kusoma kwa kina kuhusu vizazi katika Biblia. Msingi dhabiti ni muhimu kwa muundo wowote ule. Hivyo  basi ni kweli kwamba Kitabu cha Mwanzo ni msingi imara wa imani yetu ya kibiblia. Kitabu cha Mwanzo si msingi tu wa kuielewa mianzo yetu, bali pia ni msingi wa kujielewa sisi na vilevile kuuelewa uhusiano  wetu na  Mungu,  na watu wengine. Ni dhahiri kuwa hatuwezi kuupuza umuhimu wa Kitabu cha Mwanzo kama kielelezo cha msingi cha kutafakari kwa Wakristo  wote. Dkt Abraham Park anastahili kupongezwa kwa mchango wake wa maana na thamani katika kuelewa kwetu kuhusu msingi wa kitabu hiki.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Vizazi Katika Kitabu Cha Mwanzo – Utawala Wa Mungu Katika Historia Ya Ukombozi (Book 1)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Author's Bio